Kielezo cha Insha , livre ebook

icon

99

pages

icon

English

icon

Ebooks

2024

Écrit par

Publié par

icon jeton

Vous pourrez modifier la taille du texte de cet ouvrage

Lire un extrait
Lire un extrait

Obtenez un accès à la bibliothèque pour le consulter en ligne En savoir plus

Découvre YouScribe en t'inscrivant gratuitement

Je m'inscris

Découvre YouScribe en t'inscrivant gratuitement

Je m'inscris
icon

99

pages

icon

English

icon

Ebooks

2024

icon jeton

Vous pourrez modifier la taille du texte de cet ouvrage

Lire un extrait
Lire un extrait

Obtenez un accès à la bibliothèque pour le consulter en ligne En savoir plus

The definitive Kiswahili guide to essay writing with pertinent examples.
Kielezo cha Insha ndio mwongozo wa kwanza kabisa wa uandishi wa insha katika lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kilichapishwa mwaka 1954 na matbaa ya Chuo Kikuu cha Witwatersrand cha Afrika Kusini. Baada ya Uhuru wa Tanzania mwaka 1961, kitabu hiki hakikupatikana kutokana na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Afrika Kusini. Kitabu kinazungumzia masuala muhimu katika uandishi wa insha, yakiwamo: madhumuni ya kufundisha uandishi wa insha shuleni, aina za insha, maandalizi ya kuandika insha, lugha na mtindo, ushikamani, uwiano mzuri, matumizi ya alama za vituo. Kitabu hiki pia kimejumuisha insha 60 za mfano zinazowakilisha aina mbalimbali za insha zilizojadiliwa katika utangulizi, na kuakisi mawazo na mtazamo wa mwandishi – Robert kuhusu masuala anayoyajadili. Mada zinazojadiliwa ni pamoja na zile ambazo zilikuwa motomoto katika jamii wakati huo, kwa mfano ‘ndoa za siri’, utamaduni, mazingira, lugha na utaifa, uzalendo, unyanyasaji wa wanawake, afya na maana ya maisha na kifo Baada ya kupotea kwa zaidi ya miaka sitini, Matbaa ya Witwatersrand yameamua kukichapisha kitabu hiki tena kutokana na thamani yake ya kihistoria na ufaafu wa kudumu wa maarifa yaliyomo. Kitabu hiki ni mfano tosha wa elimu na ujuzi wa mafunzo bora ya uandishi wa Robert.
Bayana ya Mhariri – CM Doke Utangulizi – Shabaan Robert Utangulizi – MM Mulokozi Introduction – MM Mulokozi Maonyo ya kuandika insha a) Kusudi la kuandika insha b) Elimu ya kuandika insha c) Utunzi wa insha d) Ulinganifu wa insha e) Uzani wa ulinganifu f) Mifano mbalimbali ya insha i) Mfano wa Insha za Wasifu ii) Mfano wa Insha za masimulizi iii) Mfano wa Insha ya habari za mtu zilizoandikwa na yeye mwenyewe iv) Mfano wa Insha za Fikira v) Mfano wa Insha za Methali vi) Jinsi ya kutumia herufi kubwa vii) Yanayokulazimu kutenda viii) Yasiyokulazimu kutenda g) Insha 1. Mbwa 2. Kipupwe 3. Msimu 4. Kiangazi 5. Masika 6. Mito 7. Milima 8. Mafuriko 9. Kusafiri 10. Uvumi 11. Msichana 12. Mazao ya kazi matamu kuliko bahati za utajiri 13. Kama ningepata mamlaka 14. Haki na kazi za raia 15. Gazeti nipendalo 16. Mtihani 17. Methali na matumizi yake 18. Ubora wa kazi 19. Wastani wa maisha 20. Ukitaka kuruka agana na nyonga 21. Usipoziba ufa utajenga ukuta 22. Tamaa 23. Twaishi kwa matendo si kwa miaka 24. Mapenzi ya mama 25. Ubora wa madogo 26. Uthabiti wa mwili na uthabiti wa moyo 27. Maskani bora 28. Kuacha kufanya neno 29. Maisha ya mti 30. Wazo langu juu ya furaha 31. Marafiki 32. Ubora wa ibada 33. Shida ya chakula 34. Wakati wa uanafunzi 35. Nikitajirika 36. Mama mmoja mwema hushinda walimu wa ulimwengu 37. Kuandika kwa chapa 38. Arusi ya Kiswahili 39. Utii 40. Majirani 41. Vitabu 42. Kusudi langu katika maisha 43. Ungestahabu lipi: Utajiri au umashuhuri? 44. Utu wema 45. Mwungwana 46. Uzalendo 47. Nchi ambayo ningependa sana kuzuru 48. Mazoezi ya mwili 49. Kuhurumia wanyama 50. Tahadhari kabla ya athari 51. Yote ing’aayo usiseme dhahabu 52. Wenzi wema 53. Amani 54. Kazi madaraka ya gazeti 55. Lugha ya watu wote Afrika Mashariki 56. Umaskini 57. Mauti 58. Sifa 59. Uzuri Fahirisi Maana ya maneno mengine yaliyotumiwa kitabuni
Voir icon arrow

Publié par

Date de parution

01 décembre 2024

Nombre de lectures

0

EAN13

9781776149155

Langue

English

Alternate Text